Uongozi wa shule ya Eagles Hiugh School unayo furaha kuwatangazia kuwa umepokea matokeo mazuri ya mtihani wa Form 6 (ACSEE 2020) uliofanyika Juni/Julai 2020.

Baraza la mitihani la Taifa ( NECTA) limetoa matokeo ya kidato kidato cha sita mwaka 2020 kama ifuatavyo:

Kwa kidato cha sita: ACSEE_results_s2354_2020.pdf

Div: I- 13
       II- 39
       III- 31
       IV- 03
       0- 01

Katika matokeo hayo mwanafunzi Godfrey Assenga kutoka Eagles  aliyekuwa akisoma tahsusi ya ECA amekuwa ni miongoni mwa wavulana kumi (10) Bora kitaifa kwa masomo ya biashara huku akishikilia Nafasi ya nane (8).

wavulana 10 bora kitaifa biashara ACSEE s2354 2020

 Soma pia: Taarifa fupi kuhusu Shule ya Sekondari ya Eagles