Kwa mara nyingine wanafunzi wa sekondari ya Eagles wamethibitisha uhodari wao sio tu katika masomo peke yake, bali pia hata katika Michezo ya Umiseta ngazi ya wilaya iliyofanyika siku ya Jumamosi tarehe 25/Mei/2019.

Mara hii michezo hii ngazi ya wilaya ilifanyika katika Shule ya sekondari Bagamoyo. Wanafunzi wengi wa sekondari ya Eagles walichaguliwa kushiriki michezo ya Umiseta ngazi ya mkoa itakayofanyika Kibaha.

Kwenye michezo hiyo wanafunzi wa sekondari ya Eagles waliambatana na  mratibu wa michezo Mwl. Sharif Mgulla ambaye ameshiriki kwa kiasi kikubwa kuanda timu hiyo. Kwenye mojawapo ya picha hapa chini ni mtu wa tatu kutoka kushoto aliyevalia t-shirt ya blue.

 Eagles High School Umiseta ngazi ya wilaya Bagamoyo 2019 1

 

Eagles High School Umiseta ngazi ya wilaya Bagamoyo 2019 222

 Eagles High School Umiseta ngazi ya wilaya Bagamoyo 2019 0

Eagles High School Umiseta ngazi ya wilaya Bagamoyo 2019 7