Wanafunzi wetu 63 waliomaliza kidato cha nne mwaka 2018 wamepata post mbalimbali kwenda kidato cha tano na vyuo mbalimbali vya serikali. Mchanganuo wa waliochaguliwa ni kama ifuatavyo: HGL- 11, PCM-9, PCB-1, HGE-8, PGM-2, HKL-2, EGM-6, ECA-7

Hali kadhalika wanafunzi wa Sekondari ya Eagles waliochaguliwa kwenda vyuo mbalimbali kwa stashahada na astashahada ni 17.

Tunatoa pongezi sana kwa wazazi na walimu kwa juhudi na ushirikiano mzuri waliounesha hadi kufikia mafanikio haya.

headmaster eagles high school 2019 adam myombe

 

 

Shule ya Eagles ina inawakaribisha kuendelea na masomo ya kidato cha tano katika tahsusi zifuatazo; PCB, PCM, CBG, PMC, PCG, CBA, EGM, ECA, HGE, HKL, HGL na KLF. Eagles ina utaratibu wa kutoa punguzo la 10% ya karo kwa mwanafunzi aliyemaliza Eagles na akaendelea kidato cha tano hapa shuleni Eagles.

Download: Wanaojiunga kidato cha tano 2019