Eagles High School inatangaza nafasi za kujiunga kidato cha Kwanza mwaka 2019.

  • Mtihani wa kujiunga ( aptitude test) utafanyika tarehe zifuatazo: 17.08.2019, 14.09.2019, 28.09.2019 na 07.12.2019.
  • Masomo ya Pre- form one yataanza tarehe 01.10.2019 na yataendelea hadi mwezi wa kumi na mbili.

 

541A0986