Matokeo mazuri ya mtihani wa Form IV (CSEE** 2022 EXAMINATION RESULTS)

Uongozi wa shule ya Eagles High School unayo furaha kuwatangazia wananchi kuwa umepokea matokeo ya kufurahisha ya mtihani wa Form IV (NECTA CSEE Results 2022).

Kwa kifupi, baraza la mitihani la taifa (NECTA) limetoa matokeo ya kidato kidato cha nne mwaka 2022 yanayosomeka ifuatavyo:

Division I - wanafunzi 7
Division II - wanafunzi 12
Division III - wanafunzi 5
Division IV - wanafunzi 3
Division 0 - wanafunzi 0

Haya ni matokea mazuri na mafanikio makubwa kwa shule yetu, kwani jumla ya wanafunzi wote waliotahiniwa 27 wamefaulu. EXAMINATION CENTRE GPA 2.5376 GRADE B (VERY GOOD)

** Certificate of Secondary Education Examination (CSEE) 

download icon pdf 90 Download NECTA CSEE Results 2022 for S2354 EAGLES SECONDARY SCHOOL