Wanafunzi wa kidato cha Kwanza katika Shule ya sekondari Eagles wakifuatilia kwa makini somo la Kemia kwa kutumia iPad zilizounganishwa na internet.

Shule ya sekondari Eagles imeanzisha mfumo wa kufundisha kwa kutumia iPad zilizounganishwa na internet. Mfumo huu unatajwa kuwa na manufaa mengi zaidi ikiwa ni pamoja na kumfanya mwanafunzi kulipenda somo hivyo kuongeza ufaulu. Pia mfumo huu unamuwezesha mwalimu kufundisha kwa kutumia mbinu shirikishi.

Masomo ya Kemia kwa iPad EaglesHighSchool 1

Masomo ya Kemia kwa iPad EaglesHighSchool 5

Masomo ya Kemia kwa iPad EaglesHighSchool 3

Masomo ya Kemia kwa iPad EaglesHighSchool 6