Sekondari ya Eagles imeanzisha tahsusi mpya za PMCs, PCsG, na CBCs zenye somo jipya la Computer Science.

FormV students Computer Science lesson2019 07 304
Wanafunzi wa kidato cha tano wakiwa darasani wakifuatilia somo la Computer Science kwenye Projector. Sekondari ya Eagles imeanzisha tahsusi mpya za PMCs, PCsG, na CBCs zenye somo jipya la Computer Science.

FormV students Computer Science lesson2019 07 303
Sekondari ya Eagles imeanzisha tahsusi mpya za PMCs, PCsG, na CBCs zenye somo jipya la Computer Science.

FormV students Computer Science lesson2019 07 30

 

Mkutano wa wazazi katika Shule ya sekondari ya Eagles

Tarehe 28.07.2019 ilikuwa siku ya mkutano wa wazazi uliofanyika kwenye ukumbi wa shule. Mkutano huo ulihudhuliwa na wazazi wa wanafunzi, walimu wakiongozwa na mkuu wa shule pamoja wa wakurugenzi wa shule.

mkutano wazazi 07 2019 a

mkutano wazazi 07 2019 c

mkutano wazazi 07 2019 d

 

Mtihani wa meneja wa shule ya Eagles

Pia siku hiyohiyo tarehe 28.07.2019 wanafunzi wa kidato cha nne wanaendelea na mtihani maalum unaoandaliwa na meneja wa shule. Mtihani huo unafanyika mara mbili kwa mwaka kwa kidato cha nne na cha sita na una lengo la kuwaanda vizuri wanafunzi kwa mtihani wao wa taifa.

mtihani 7 2019 a

mtihani 7 2019 c