Top 10 Schools for Form Four Results 2017

The National examination council of Tanzania (NECTA)  has released 2017 School Performance Profile scores for all Tanzania  schools today 30 of January, 2018, and using that information, St. Francis Girls (Mbeya) has ranked each of the public schools and Private schools in Tanzania.

Leo Baraza la mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya kidato cha nne kwenye mtihani ambao ulifanyika October 2017 ambapo Shule ya iliyoshika namba moja inatoka Mbeya.

TOP 10 YA SHULE BORA:

10. Shamsiye Boys ya Dar es salaam
9. Marian Boys ya Pwani
8. Feza Girls ya Dar es salaam
7. Canossa ya Dar es salaam
6. Marian Girls Pwani
5. Anwarite Girls ya Kilimanjaro
4. Bethel Sabs Girls ya Iringa
3. Kemebos ya Kagera
2. Feza Boys ya Dar es salaam
1. St. Francis Girls ya Mbeya

 

TOP 10 YA SHULE ZA MWISHO KITAIFA:

10. Mtule ya Kusini Unguja
9. Nyeburu ya Dar es salaam
8. Chokocho ya Kusini Pemba
7. Kabugaro ya Kagera
6. Mbesa ya Ruvuma
5. Furaha ya Dar es salaam
4. Langoni ya Mjini Magharibi
3. Mwenge S.M.Z ya Mjini Magharibi
2. Pwani Mchangani ya Kaskazini Unguja
1. Kusini ya Kusini Unguja

....

WALIOONGOZA 10 BORA KITAIFA:

Kwa upande wa wanafunzi ambao wameshika nafasi ya kwanza hadi ya kumi kitaifa kwenye matokeo hayo, Dk.Msonde alisema nafasi ya  kwanza imeshikwa na mwanafunzi Philison Mdee(Marian Boys), wakati nafasi ya pili imeshikwa na Eliza Mangu(Marian Girls), nafasi ya tatu na Mshana(Marian Girls)

Ametaja nafasi ya nne imeshikwa na Emanuel Makoye(Ilboru), nafasi ya tano Lukelo Luoga(Ilboru), nafasi ya sita Fuad Thabit(Feza Boys), nafasi ya saba Godfrey Mwakatage(Uwata), nafasi ya nane Baraka Mohamed (Eagles Secondary School), nafasi ya tisa Lilian Moses(Marian Girls) na nafasi ya kumi kitaifa imechukuliwa na Everine Mlowe(St. Francis Gr)

WANAUME 10 BORA KITAIFA:

Akitangaza walioshika nafasi ya kwanza hadi ya 10 kitaifa kwa mujibu wa Dk.Msonde ni Philison Mdee(Marian Boys), nafasi ya pili Lameck Makoye(Ilboru), nafasi ya tatu Tadei Luoga(Ilboru), nafasi ya nne Fuad Thabit (Feza Boys).

Wakati nafasi ya tano ni  Godfrey Mwakatage(Uwata), nafasi ya sita  Baraka Mohamed (Eagles Secondary School), nafasi ya saba  Noel Shimba(Marian Boys), nafasi ya nane ni Patrick Robert(Mzumbe), nafasi ya tisa Robison Eliona(ILboru) na nafasi ya 10 bora kitaifa imechukuliwa na mwanafunzi Harrison Simkoko (Mzumbe)

WASICHANA 10 BORA KITAIFA:

Dk.Msonde ametaja wasichana walioongoza kwenye matokeo ya mtihani huo ambapo nafasi ya kwanza imechukuliwa na Ellizabeth  Mangu(Marian Girls) nafasi ya pili Anna Benjamin Mshana(Marian Girls), watatu ni Lilian Moses Katabalo(Marian Girls) na nafasi ya nne ni Eveline Edward Mloe(St.Francis Girls).

Nafasi ya tano imechukuliwa na Rosemary Godfrey Ritth (St.Francis), nafasi ya sita ni Priscilla Hermenegild Kiyagi(St.Francis) nafasi ya saba ni Comfort Aloyce Mkangaa (St.Francis), nafasi ya nane Reginelly Gaudence Moshi(Kifungilo Girls) nafasi ya tisa Maria Hewa Gambaloya(Mariam Girls) na nafasi ya 10 ni Dorice Humphrey Shadrack(St.Francic)