Jumatatu tarehe 1.05.2020 walimu wa Eagles High School walifanya semina kwa wanafunzi wa kidato cha sita kwa lengo la kuwajengea uwezo wa kujiandaa na mtihani wao wa taifa huku wakichukua tahadhari ya ugonjwa wa Covid-19.

Mambo mengi yalizungumzwa ikiwa ni pamoja na kuondoa hofu ya mtihani, kujiamini, kujisomea kwa njia ya mjadala (group discussion), kumtanguliza Mungu na kutumia muda huu vizuri kufanya maandalizi. Hayo yameelezwa huku kila mmoja akisisitizwa kuchukua tahadhari ya ugonjwa wa mapafu.

 

EaglesHS semina kidato cha VI 001

 

 

EaglesHS semina kidato cha VI 006

 

EaglesHS semina kidato cha VI 005

 

EaglesHS semina kidato cha VI 003